Bunge lamuidhinisha Joe Biden kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais Marekani

 


Bunge la Marekani limepiga kura ya kumuidhinisha rais mteule Joe biden kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliopita.

Bunge hilo lilimuidhinisha Biden kwa kura 282 huku wabunge 138 wakipiga kura ya kupinga matokeo ya jimbo la Pennsylvania.

Bunge la seneti lilikataa pingamizi kama hiyo.

Bunge la uwakilishi pamoja na lile la Seneti litaendelea kuhesabu kura za wajumbe zilizosalia ili kumuidhinisha Joe Biden kuwa rais mtarajiwa wa Marekani.


Bunge lamuidhinisha Joe Biden kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais Marekani Bunge lamuidhinisha Joe Biden kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais Marekani Reviewed by cmakigo on January 07, 2021 Rating: 5

No comments:

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();
Powered by Blogger.