Mfanyabiashara mkubwa China ahukumiwa kunyongwa

 


Mfanyabiashara mkubwa wa China ambaye pia ni amewahi kuwa Kiongozi wa Chama, Lai Xiaomin amehukumiwa kunyongwa baada ya kukutwa na hatia ya Rushwa ya takriban Tsh. Bilioni 643.

Mahakama imesema alijihusisha na vitendo vya Rushwa kwa miaka 10 tangu mwaka 2008 ambapo alikuwa anapokea fedha ili kuwapa watu Ajira, kuwapandisha madaraja au kuingia mikataba.

Lai alianza kuchunguzwa mwaka 2018 ambapo pia alifukuzwa uanachama wa Communist Party of China. Kwa mujibu wa Shirika la Amnesty International, Nchi hiyo inanyonga watu wengi kuliko nyingine yoyote duniani.


Mfanyabiashara mkubwa China ahukumiwa kunyongwa Mfanyabiashara mkubwa China ahukumiwa kunyongwa Reviewed by cmakigo on January 06, 2021 Rating: 5

No comments:

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();
Powered by Blogger.