Mlipuko wa volkano nchini Indonesia

 


Mlipuko umetokea katika Volkano ya Sinabung katika mkoa wa Sumatra Kaskazini mwa Kisiwa cha Sumatra, Indonesia.

Taarifa iliyotolewa na Kituo cha Kupunguza Maafa ya Volkolojia na Jiolojia (PVMBG), imesema kuwa mlipuko uliotokea katika Volkano ya Sinabung ulidumu dakika 3 na sekunde 21.

PVMBG iliwaonya watu wa mkoa huo kukaa angalau kilomita 3 mbali na kilele cha volkano, kilicho katika kiwango cha tahadhari  na vile vile kuvaa barakoa dhidi ya majivu.


Mlipuko wa volkano nchini Indonesia Mlipuko wa volkano nchini Indonesia Reviewed by cmakigo on January 21, 2021 Rating: 5

No comments:

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();
Powered by Blogger.