Hatimaye Bernad Membe,ametangaza rasimi kujihuzulu



Aliyekuwa mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo na mshauri wa Chama hicho, Bernad Membe, ametangaza rasmi kujiuzulu nafasi zake zote ndani ya Chama hicho.

Akitangaza uamuzi huo leo nyumbani kwake kijijini Rondo Chiponda, halmashauri ya wilaya ya Mtama mkoani Lindi, amesema hajafanya uamuzi huo kwa shinikizo lolote na kwamba kwa sasa atakua mshauri wa masuala mbalimbali yanayoihusu nchi ya Tanzania na kupigania demokrasia ya kweli.

Hatimaye Bernad Membe,ametangaza rasimi kujihuzulu Hatimaye Bernad Membe,ametangaza rasimi kujihuzulu Reviewed by cmakigo on January 02, 2021 Rating: 5

No comments:

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();
Powered by Blogger.