Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa(UN) Antonio Guterres amesema sio sahihi suala la chanjo dhidi ya Ugonjwa wa COVID19 kuchukuliwa kitaifa
Katika ujumbe wake amesema, hakuna nchi itakuwa salama dhidi ya #CoronaVirus hadi nchi zote zitakapokuwa salama
Kauli yake inakuja baada ya nchi kadhaa zikiwemo Marekani, Uingereza na Urusi kuidhinisha chanjo za Pfizer/BioNTech, Sputnik V ili kupambana na mlipuko.
Guterres: Sio sahihi kila Taifa kuwa na chanjo yake ya Ugonjwa wa COVID19
Reviewed by cmakigo
on
January 04, 2021
Rating:
Reviewed by cmakigo
on
January 04, 2021
Rating:

No comments:
Post a Comment